Markedets billigste bøger
Levering: 1 - 2 hverdage

Juu ya Mambo Kama Hayo Hakuna Sheria(Swahili Edition)

Bag om Juu ya Mambo Kama Hayo Hakuna Sheria(Swahili Edition)

Roho Mtakatifu anapoingia katika mioyo yetu, hutusaidia kuelewa mambo ya ndani ya Mungu na kuishi kwa Neno la Mungu. Kwa mfano, anapokuwepo mtu ambaye hawezi kusamehe, hutukumbusha kuhusu msamaha na upendo wa Bwana na hutusaidia kumsamehe mtu huyo. Kisha, tunaweza kuufukuza uovu kwa haraka kutoka katika mioyo yetu na kuingiza wema na upendo. Katika njia hii, kadri tunavyozaa matunda ya Roho Mtakatifu kwa kupitia mwongonzo wa Roho Mtakatifu, hatutafurahia uhuru katika kweli tu lakini pia tutapokea upendo na baraka za Mungu zinazofurika.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9791126311408
  • Indbinding:
  • Paperback
  • Sideantal:
  • 210
  • Udgivet:
  • 26. august 2023
  • Størrelse:
  • 140x11x210 mm.
  • Vægt:
  • 240 g.
Leveringstid: 2-3 uger
Forventet levering: 19. december 2024
Forlænget returret til d. 31. januar 2025

Beskrivelse af Juu ya Mambo Kama Hayo Hakuna Sheria(Swahili Edition)

Roho Mtakatifu anapoingia katika mioyo yetu, hutusaidia kuelewa mambo ya ndani ya Mungu na kuishi kwa Neno la Mungu. Kwa mfano, anapokuwepo mtu ambaye hawezi kusamehe, hutukumbusha kuhusu msamaha na upendo wa Bwana na hutusaidia kumsamehe mtu huyo. Kisha, tunaweza kuufukuza uovu kwa haraka kutoka katika mioyo yetu na kuingiza wema na upendo. Katika njia hii, kadri tunavyozaa matunda ya Roho Mtakatifu kwa kupitia mwongonzo wa Roho Mtakatifu, hatutafurahia uhuru katika kweli tu lakini pia tutapokea upendo na baraka za Mungu zinazofurika.

Brugerbedømmelser af Juu ya Mambo Kama Hayo Hakuna Sheria(Swahili Edition)

Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.