Udsalget slutter om
Udvidet returret til d. 31. januar 2025

Maisha ya Kutotii na Maisha ya Kutii(Swahili Edition)

Bag om Maisha ya Kutotii na Maisha ya Kutii(Swahili Edition)

Katika kitabu hiki kumewekwa taswira ya kupingana, maisha ya Farao, aliyekosa kutii neno la Mungu, na maisha ya Musa aliyeishi maisha ya utiifu. Pia kina upendo wa Mungu ambaye kwa huruma zake zisizo na mwisho hutujuza njia ya wokovu kupitia kwa kusherehekea Pasaka, sheria ya tohara, na maana ya Siku Kuu ya Mikate Isiyochachwa. Farao alishuhudia uwezo wa Mungu lakini bado akakosa kumtii, na hivyo akaanguka katika hali isiyoweza kurudishwa nyuma. Lakini Waisraeli walikuwa salama kutoka kwa mabaa yote kwa sababu walimtii Mungu.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9791126312542
  • Indbinding:
  • Paperback
  • Sideantal:
  • 174
  • Udgivet:
  • 19. februar 2024
  • Størrelse:
  • 140x9x210 mm.
  • Vægt:
  • 200 g.
  • BLACK FRIDAY
    : :
Leveringstid: 2-3 uger
Forventet levering: 16. december 2024
Forlænget returret til d. 31. januar 2025

Beskrivelse af Maisha ya Kutotii na Maisha ya Kutii(Swahili Edition)

Katika kitabu hiki kumewekwa taswira ya kupingana, maisha ya Farao, aliyekosa kutii neno la Mungu, na maisha ya Musa aliyeishi maisha ya utiifu. Pia kina upendo wa Mungu ambaye kwa huruma zake zisizo na mwisho hutujuza njia ya wokovu kupitia kwa kusherehekea Pasaka, sheria ya tohara, na maana ya Siku Kuu ya Mikate Isiyochachwa. Farao alishuhudia uwezo wa Mungu lakini bado akakosa kumtii, na hivyo akaanguka katika hali isiyoweza kurudishwa nyuma. Lakini Waisraeli walikuwa salama kutoka kwa mabaa yote kwa sababu walimtii Mungu.

Brugerbedømmelser af Maisha ya Kutotii na Maisha ya Kutii(Swahili Edition)



Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.