Markedets billigste bøger
Levering: 1 - 2 hverdage
Bag om Kifaurongo

Diwani hi ina mashairi mseto yatakayomwezesha msomaji kujitanua bila ukinzani wa uguni na usiguni, usasa na umapokeo; hivyo azingatie fani, maudhui na muktadha. Dhana zilizodokezwa ni ukoloni mamboleo, usaliti, mila potofu, ukatili, unyanyasaji wa kijinsia, haki za mtoto, UKIMWI, rushwa, kiwi ya akili, uwajibikaji na nyinginezo. Christopher Bundala Budebah alizaliwa mwaka 1956 huko Maswa, Simiyu. Ni mhitimu wa M.A Kiswahili, Stashahada ya Uzamili ya Ualimu, Shahada ya Kwanza ya Sanaa za Maonyesho na Cheti cha Sanaa za Maonyesho. Mbali na tuzo ya Mabati, mwandishi aliwahi pia kushinda tuzo ya uandishi wa kazi za fashi kwenye shindano la Jubilei ya miaka 75 ya TUKI.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9789987753710
  • Indbinding:
  • Paperback
  • Sideantal:
  • 72
  • Udgivet:
  • 25. Juni 2023
  • Størrelse:
  • 129x5x198 mm.
  • Vægt:
  • 88 g.
Leveringstid: 2-3 uger
Forventet levering: 3. Juli 2024

Beskrivelse af Kifaurongo

Diwani hi ina mashairi mseto yatakayomwezesha msomaji kujitanua bila ukinzani wa uguni na usiguni, usasa na umapokeo; hivyo azingatie fani, maudhui na muktadha. Dhana zilizodokezwa ni ukoloni mamboleo, usaliti, mila potofu, ukatili, unyanyasaji wa kijinsia, haki za mtoto, UKIMWI, rushwa, kiwi ya akili, uwajibikaji na nyinginezo.

Christopher Bundala Budebah alizaliwa mwaka 1956 huko Maswa, Simiyu. Ni mhitimu wa M.A Kiswahili, Stashahada ya Uzamili ya Ualimu, Shahada ya Kwanza ya Sanaa za Maonyesho na Cheti cha Sanaa za Maonyesho. Mbali na tuzo ya Mabati, mwandishi aliwahi pia kushinda tuzo ya uandishi wa kazi za fashi kwenye shindano la Jubilei ya miaka 75 ya TUKI.

Brugerbedømmelser af Kifaurongo



Find lignende bøger
Bogen Kifaurongo findes i følgende kategorier:

Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.