Markedets billigste bøger
Levering: 1 - 2 hverdage

Mazingira - mahali pa kuotea moto

indgår i Saga Sounds serien

Bag om Mazingira - mahali pa kuotea moto

Tulia ukisikiliza sauti za maumbile. Kuni katika mahali pa kuotea moto zinachomeka, na joto linaenelea ndani ya chumba. Saa ya zamani inaendelea kugonga, na paka anajinyoosha na kukoroma sakafuni. Umekaa kwenye kiti chenye starehe, ukitulia huku ukifirikia moto ulio mbele yako. Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini. Sauti iliyobuniwa vizuri huunda mazingira ya kutuliza, yanayojulikana pia kama "mazingira", ambayo unaweza kuyaingia mahali popote na wakati wowote utakao. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726266542
  • Format:
  • MP3
  • Udgivet:
  • 19. Juli 2019
  • Oplæser:
  • Rasmus Broe
Leveringstid: Straks på e-mail

Beskrivelse af Mazingira - mahali pa kuotea moto

Tulia ukisikiliza sauti za maumbile.

Kuni katika mahali pa kuotea moto zinachomeka, na joto linaenelea ndani ya chumba. Saa ya zamani inaendelea kugonga, na paka anajinyoosha na kukoroma sakafuni. Umekaa kwenye kiti chenye starehe, ukitulia huku ukifirikia moto ulio mbele yako.

Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini. Sauti iliyobuniwa vizuri huunda mazingira ya kutuliza, yanayojulikana pia kama "mazingira", ambayo unaweza kuyaingia mahali popote na wakati wowote utakao.

Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini.

Brugerbedømmelser af Mazingira - mahali pa kuotea moto



Find lignende bøger
Bogen Mazingira - mahali pa kuotea moto findes i følgende kategorier:

Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.