Markedets billigste bøger
Levering: 1 - 2 hverdage

N'na Kwetu

Bag om N'na Kwetu

Tungo nyingi zilizomo humu ziliandikwa baina ya robo ya mwisho ya mwaka 2010 na nusu ya mwanzo ya mwaka 2015. Hii ni miaka mitano ya mwanzo ya mshairi kuhamia na kuishi nchini Ujerumani - mbali na nyumbani kwao, Zanzibar. Ndani yake, kwa hivyo, muna muakisiko wa hisia za mgeni ugenini, akitayamani mengi mazuri ya kwao na akijutia kuyaacha nyuma yake. Ukweli ni kuwa wakati mtu anapoishi ugenini, ndipo hasa ile thamani ya kwao anapoitambua na kutaka kuitambulisha navo zaidi na zaidi. Ndipo hisia za kutambuwa kuwa ana kwao zinapopanda kiwango cha juu. Kutoka kipembe cha mbali, Mohammed Ghassanani anakuangalia kwao na kuyaona mambo ambayo alipokuwamo ndani yake, alikuwa hata hajui kama yapo. Chembilecho Wajapani: "Samaki hajijui kuwa amerowa!" Na sababu ya kutokujijuwa huko, kwa hakika, ni kwa kuwa yeye mwenyewe anaishi ndani ya maji muda wote.¿¿¿¿¿ Mohammed Ghassani alizaliwa kisiwani Pemba mwaka 1977, ambako alikulia na kusomea had alipohamia kisiwani Unguja kwa ajili ya masomo na maisha mwaka 1996 a mwaka 2010 akahamia nchini Ujerumani, ambako ndiko anakoishi na kufanya kazi

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9789987753703
  • Indbinding:
  • Paperback
  • Sideantal:
  • 132
  • Udgivet:
  • 25. Juni 2023
  • Størrelse:
  • 129x8x198 mm.
  • Vægt:
  • 149 g.
Leveringstid: 2-3 uger
Forventet levering: 3. Juli 2024

Beskrivelse af N'na Kwetu

Tungo nyingi zilizomo humu ziliandikwa baina ya robo ya mwisho ya mwaka 2010 na nusu ya mwanzo ya mwaka 2015. Hii ni miaka mitano ya mwanzo ya mshairi kuhamia na kuishi nchini Ujerumani - mbali na nyumbani kwao, Zanzibar. Ndani yake, kwa hivyo, muna muakisiko wa hisia za mgeni ugenini, akitayamani mengi mazuri ya kwao na akijutia kuyaacha nyuma yake. Ukweli ni kuwa wakati mtu anapoishi ugenini, ndipo hasa ile thamani ya kwao anapoitambua na kutaka kuitambulisha navo zaidi na zaidi. Ndipo hisia za kutambuwa kuwa ana kwao zinapopanda kiwango cha juu. Kutoka kipembe cha mbali, Mohammed Ghassanani anakuangalia kwao na kuyaona mambo ambayo alipokuwamo ndani yake, alikuwa hata hajui kama yapo. Chembilecho Wajapani: "Samaki hajijui kuwa amerowa!" Na sababu ya kutokujijuwa huko, kwa hakika, ni kwa kuwa yeye mwenyewe anaishi ndani ya maji muda wote.¿¿¿¿¿

Mohammed Ghassani alizaliwa kisiwani Pemba mwaka 1977, ambako alikulia na kusomea had alipohamia kisiwani Unguja kwa ajili ya masomo na maisha mwaka 1996 a mwaka 2010 akahamia nchini Ujerumani, ambako ndiko anakoishi na kufanya kazi

Brugerbedømmelser af N'na Kwetu



Find lignende bøger
Bogen N'na Kwetu findes i følgende kategorier:

Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.